Sajili Watumishi

Baada ya kufanikiwa kuingia katika mfumo na kuhakiki taarifa za madarasa zinazoonekana kwenye Dashibodi (Dashboard) Mkuu wa shule anatakiwa kusajili waatumishi (Walimu na wasip Walimu) katika shule husika. Ili aweze kufanikisha usajili huu Mkuu wa shuke atabofya menyu iliyoandikwa Watumishi na kisha atabofya menyu ndogo iliyoandikwa Sajili Mtumishi kisha utafunguka ukurasa utakaomuwezesha kusajili mtumishi kama inavyoonekana hapa:-

alt Imange Description

Baada ya kufanikiwa kusajili mtumishi wa ngazi ya shule, Mkuu wa shule anatakiwa kubofya menyu ya Watumiaji inayopatikana upande wa kushoto wa ukurasa wake. Baada ya kubofya utafunguka ukurasa ambao utamuwezesha kugawa majukumu kwa watumishi wapya waliosajiliwa kama inavyoonekana hapa;

alt Imange Description