Ripoti

Moja ya menyu anazoziona Mkuu wa Shule ni menyu ya ripoti. Mkuu wa shule anaona ripoti mbalimbali katika mfumo zinazomuwezesha kufanya maamuzi mbali mbali katika shughuli za kila siku za usimamizi wa shule. Bofya menyu iliyoandikwa ripoti kisha utafunguka ukurasa utakaomuwezesha kufungua ripoti;

alt Imange Description