Mkuu wa Shule

Namna ya kuingia kwenye mfumo

Baada ya kusajiliwa na Afisa TEHAMA wa HALMASHAURI, anza kwa kufungua kivinjari chako katika kompyuta  ambacho kimeunganishwa katika mtandao wa internet. Kivinjari hicho kinaweza kuwa Google Chrome, Mozila Firefox au Microsoft Edge.

alt Imange Description

Kisha aandika anuani ifuatayo sis.tamisemi.go.tz. Anza kwa kuingiza “Username” na “Password” uliyotengenezewa na Afisa TEHAMA wa HALMASHAURI. Kisha Bofya kitufe kilicho andikwa “INGIA” ili uweze kuingia kwenye mfumo.

alt Imange Description

Mara baada ya mfumo kufunguka kwa mara ya kwanza utatokea ukurasa unaokutaka kubadilisha neno la siri. Andika neno la siri (Default Password) ambayo ni secret, kisha andika neno jipya la siri na kulihakakiki. Baada ya hapo Hifadhi taarifa zako. Mfumo utakuotoa nje na kukutaka uingie tena, weka barua pepe na nywila mpya kisha bofya kitufe kilichoandikwa ingia.

alt Imange Description

Mara baada ya mfumo kufunguka kwa mara ya kwanza huu ndio utakuwa ukurasa wa kwanza unaoonyesha menyu zitakazofanyiwa kazi na Mkuu wa Shule.

alt Imange Description